- 83 viewsKongamano la walimu wakuu wa shule za msingi na sekondari msingi limeingia siku yake ya pili hii leo jijini Mombasa.Baadhi ya walimu na wadau katika sekta ya elimu wametaka serikali kuwekeza zaidi katika teknolojia na miundombinu ya kisasa ili kufanikisha mtaala wa cbe.