Kongamano ya hali ya hewa lafanyika Azerbaijan

  • | Citizen TV
    140 views

    Kongamano la umoja wa mataifa kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa limeanza rasmi jijini Baku, Azerbaijan ambapo rais wa COP29 Mukhtar Babayev amepokezwa rasmi mamlaka ya uenyekiti wa vikao vya mataifa wanachama kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa.