Koome adai njama ya kuhujumu na kuipaka tope idara ya mahakama mitandaoni

  • | Citizen TV
    408 views

    JAJI MKUU MARTHA KOOME AMEDAI NJAMA YA KUIPATA TOPE IDARA YA MAHAKAMA KUPITIA MITANDAO YA KIJAMII INAYOLENGA MAJAJI NA MAHAKIMU. KOOME AKISEMA KUWA KATIKA KIPINDI CHA MWAKA MMOJA, IDARA YA MAHAKAMA IMEKUWA IKIPOKEA SHUTMA ZISIZO NA MISINGI WALA USHAHIDI ILI KUHUJUMU UHURU WA IDARA HIYO. KOOME SASA ANAWATAKA MAJAJI NA MAHAKIMU NCHINI KUSIMAMA NA HAKI WANAPOFANYA MAJUKUMU YAO.