- 739 viewsDuration: 1:36Koplo Peter Wamiti Mwangi, afisa wa Polisi anayehusishwa na mauaji ya mfanyabiashara George Gathu, atasalia rumande mpaka mwezi mei tarehe tano, siku ambayo mahakama itatoa mwelekeo zaidi, kuhusu mkondo utakaochukuliwa kwenye kesi Hiyo.