Korea Kaskazini yawahukumu wavulana wawili kwa kutazama K. Drama

  • | BBC Swahili
    1,569 views
    Picha adimu zinaonesha Korea Kaskazini ikiwahukumu hadharani wavulana wawili kifungo cha miaka 12 ya kufanya kazi ngumu kwa kosa la kutazama tamthilia za Korea Kusini ( K. Drama). Video hiyo ambayo inaonekana kurekodiwa mwaka wa 2022, inaonesha wavulana wawili wa umri wa miaka 16 wakiwa wamefungwa pingu mbele ya mamia ya wanafunzi kwenye uwanja wa nje. #bbcswahili #koreakusini #koreakaskazini Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw