Korti ya Bungoma yaamua Eliud Wekesa maarufu ‘Yesu wa Tongaren’ azuiliwe kwa siku nne zaidi

  • | K24 Video
    54 views

    Eliud Wekesa Simiyu maarufu ‘Yesu wa Tongaren’ atazuiliwa katika kituo cha polisi cha Bungoma kwa muda wa siku nne zaidi ili kuipa idara ya upelelezi muda wa kukamilisha uchunguzi. Maafisa wa DCI wanachunguza madai kuwa kanisa la New Jerusalem linatoa mafunzo potovu kwa wafuasi wake