4 Dec 2025 8:04 pm | Citizen TV 1,504 views Duration: 1:23 Rais William Ruto hana mamlaka ya kubuni na kuteua kamati ya kushughulikia maswala ya fidia ya waathiriwa wa ghasia. Mahakama kuu badala yake ikiamua kuwa jukumu hilo ni la tume ya kitaifa ya kutetea haki za kibinaadam.