KPA yapokea rasmi bandari ya shimoni huko Kwale

  • | Citizen TV
    319 views

    Halmashari ya bandari kpa imepokea rasmi bandari ya shimoni kaunti ya Kwale. Bandari hiyo imejengwa kwa kima cha shilingi bilioni 2.6 na inatarajiwa kutatua changamoto za kuhifadhi samaki na kuongeza ajira kwa vijana. Mkurugenzi wa bandari William Ruto ametaka wawekezaji kujiandaa kuchangia katika sekta ya uchumi wa baha