25 Sep 2025 10:26 am | Citizen TV 248 views Duration: 1:18 Mamlaka ya utozaji ushuru nchini kra imedokeza kuwa imeondoa baadhi ya taratibu na vikwazo vya uendeshaji biashara ili kupunguza gharama ya biashara