KRA yaendeleza kampeni za uhamasisho kuhusu ulipaji ushuru

  • | KBC Video
    8 views

    Halmashauri ya ukusanyaji ushuru nchini inalenga takriban watu milioni 8.5 kulipa ushuru kufikia mwisho wa mwezi Juni. Baada ya kukusanya pesa zaidi ya ilivyotarajiwa mwezi uliopita, halmashauri hiyo sasa inawataka watu kuchukua fursa ya msamaha wa sasa wa ushuru na kusasisha rekodi zao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive