KRA yashirikiana na Shirika la KBC kuhamasisha umma kuhusu ukusanyaji ushuru

  • | KBC Video
    14 views

    Halmashauri ya ukusanyaji ushuru KRA imehitimisha ziara yake katika eneo la North Rift huku kukiwa na wito kwa walipa ushuru kuwasilisha ripoti yao ya malipo ya ushuru mwishoni mwa mwezi Juni. Msafara huo ulioongozwa na KRA na shirika la utangazaji humu nchini KBC ambalo ni mshirika wake,ulikuwa katika kaunti ya Transzoia ukizuru miji ya Kitale, Endebess, Kwanza, Kachibora na Cherangany

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive