Skip to main content
Skip to main content

KTDA yamkemea Katibu wa Kilimo baada ya tishio la kufurushwa kwa wakurugenzi

  • | Citizen TV
    737 views
    Duration: 3:02
    Wizara ya kilimo imetishia kuwafurusha wakurugenzi wa mamlaka ya chai nchini KTDA, kufuatia tofauti kubwa zilizoshuhudiwa kwenye malipo ya bonasi kwa wakulima wa chai mwaka huu. Katibu wa kilimo Paul Ronoh aliyeashiria nia ya serikali kufanya mabadiliko kwenye mamlaka hio anasema uongozi wa sasa umeonyesha kulemaza shughuli za serikali kuinyoosha sekta ya chai. KTDA imemuonya katibu huyo dhidi ya kuifanyia sekta hio mzaha