Kubatilishwa kwa uchaguzi | Wabunge wawili wapoteza viti

  • | KBC Video
    71 views

    Mahakama kuu imefutilia mbali uchaguzi wa mbunge wa Magarini Harrison Kombe na ule wa mwenzake wa Lagdera Abdikadir Hussein. Mahakama ilibaini kuwa uchaguzi wa wabunge hao wawili ulikumbwa na dosari na ikaagiza tume ya uchaguzi nchini kuandaa uchaguzi mpya katika maeneo bunge hayo mawili.Hatahivyo mbunge wa Lagdera alipata afueni ya muda baada ya mahakama kuu huko Meru kuahirisha maagizo ya kuandaliwa kwa uchaguzi mpya katika eneo hilo,na kumwezesha mbunge huyo kuendelea kuhudumu hadi tume ya uchaguzi itakapokuwa imezinduliwa kikamilifu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #ODM #News #kubatilishwakwauchaguzi