21 Mar 2026 7:31 pm | Citizen TV 13,005 views Duration: 1:16 Kubomolewa ghafla kwa vyoo vya umma vilivyokuwa mkabala na hifadhi ya nyaraza za kitaifa katikati mwa jiji la Nairobi kumeibua mvutano huku wafanyibiashara waliokuwa wakichumia nje ya majengo hayo wakikadiria hasara