KUDHEIHA, wafanyibiashara Grogon wapanda miti

  • | KBC Video
    8 views

    Chama cha kitaifa cha wafanyikazi wa hoteli, taasisi za elimu, hospitali pamoja na washirika wengine-KUDHEIHA kwa ushirikiano na wafanyibiashara wa Grogon, kilishiriki katika shughuli ya upanzi wa miti ili kuendeleza ajenda ya serikali ya uhifadhi misitu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive