Kuimarika kwa usalama kumefufua biashara Lamu

  • | Citizen TV
    582 views

    Kuimarika kwa usalama kaunti ya Lamu kumefufua biashara na uwekezaji kaunti hiyo. Hali hiyo imepiga jeki sekta za kilimo, uvuvi, uchukuzi, viwanda na utalii na kuwafaidi wakazi kwa mapato