KUMBUKUMBU YA ZIARA YA PAPA FRANCIS KENYA

  • | K24 Video
    35 views

    Waumini wa Kanisa Katoliki wanaendelea kuomboleza kifo cha Papa Francis, ambaye atakumbukwa sana katika historia ya Kenya. Papa Francis alizuru Kenya mwaka 2015, ikiwa ziara yake ya kwanza barani Afrika kama Kiongozi wa Kanisa Katoliki.