Skip to main content
Skip to main content

Kundi la akina mama wazee katika kaunti ya Nandi waanzisha Tegat Grannies Football Club

  • | Citizen TV
    209 views
    Duration: 3:24
    Kundi la akina mama wazee katika kaunti ya Nandi limeanzisha timu ya soka inayojulikana kama Tegat Grannies Football Club . Timu hiyo inatumia mchezo wa mpira wa miguu kama njia ya kuimarisha afya ya mwili na kukabiliana na maradhi yanayoambatana na uzee.