Kundi la baadhi ya wakaazi waunga mkono mradi huu

  • | Citizen TV
    128 views

    Kundi la wakaazi wa mtaa wa Woodley walioagizwa kuhama kutoa nafasi ya ujenzi wa nyumba za nafuu za serikali sasa wamejitokeza kuunga mkono mradi huu. Wakaazi hawa wanasema ujenzi huu wa nyumba 1,900 utaupa mtaa huo sura mpya.