Kundi la kina mama la bisharo lahamasisha Amani, Wajir

  • | Citizen TV
    233 views

    Baadhi ya mila zinaweza kutumika kuboresha maisha ya jamii na mfano bora ni Kikundi cha kina mama cha Bisharo kaunti ya Wajir ambacho kinaenzi tamaduni na mila za kisomali na kimeleta pamoja kinamama wa kutoka eneo hilo, kusuluhisha mizozo ya kijamii na kuimarisha utangamano kupitia mila. Mwandishi wetu Susan Ndunda alitembelea kikundi hiki na kutuandalia Makala yafuatayo