Kundi la vijana lawapa kina mama ng'ombe wa maziwa Mosop

  • | Citizen TV
    288 views

    Akina mama kutoka familia zisizojiweza katika kijiji cha Kapserton eneo bunge la Mosop kaunti ya Nandi,wamepewa msaada wa ng'ombe kutoka kikundi cha vijana cha Roriat kama njia moja ya kuwambuka msimu huu wa Krismasi.