Kunusuru Kenya Airways | Serikali yaanza majadiliano ya kuhuisha shirika

  • | KBC Video
    30 views

    Waziri wa uchukuzi na barabara Kipchumba Murkomen anasema serikali imeanzisha mazungumzo yaliyoadhamiriwa kuikwamua kiuchumi kampuni ya ndege ya Kenya Airways na kuiwezesha tena kuanza kujipatia faida. Murkome ambaye alifika mbele ya kamati ya bunge kuhusu barabara leo, alisema licha ya matatizo yakifedha yaliyokithiri kwenye kampuni hiyo, ingali katika nafasi bora zaidi katika kanda hii kwa kuifanya Nairobi kuwa kitovu cha uchukuzi wa angani na hivyo ni jukumu kuhakikisha kampuni hiyo inarejelea hali ya kawaida ya biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #KenyaAirways #News #Seneti #KipchumbaMurkomen