- 5,639 viewsDuration: 1:59Kwa muda mrefu sana watu wamekuwa wakiona dhahabu kama njia salama ya kuwekeza fedha, hasa wakati uchumi au hali ya dunia ni tete. Lakini hata hivyo, uwekezaji katika dhahabu nao una hatari zake, si salama kabisa kama inavyodhaniwa. Mariam Mjahid anaelezea #bbcswahili #uchumi #uwekezaji Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw