- 347 viewsDuration: 1:36Walimu wa KUPPET tawi la Nandi lnawataka serikali kuunda sera itakayohakikisha sekondari msingi zinapata uwezo wa kujisimamia badala ya kuwa chini ya usimamizi wa shule za msingi. kulingana nao, walimu wa JSS wamekuwa wakidai uhuru huo kwa muda mrefu ili kuwawezesha kupiga hatua katika taaluma zao.