KUPPET yaandaa kandanda kwa walimu kaunti ya Kericho

  • | Citizen TV
    102 views

    Muungano wa kuppet kaunti ya kericho uliandaa kandanda kwa walimu katika uwanja wa shule ya upili wa litein,huko bureti kaunti ya kericho kuadhimisha siku ya wafanyikazi.