Skip to main content
Skip to main content

KUPPET yatoa makataa ya siku saba kwa SHA kurekebisha kasoro katika mfumo wake wa bima ya afya

  • | NTV Video
    154 views
    Duration: 3:00
    Chama cha walimu wa shule za upili nchini KUPPET kimetoa makataa ya siku saba kwa Mamlaka ya bima ya afya ya SHA kurekebisha kasoro katika mfumo wake wa bima ya afya kikisema mfumo huo hauwafai walimu licha ya wao kuwa miongoni mwa wachangiaji wakuu. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya