Kuria Kimani: Ushuru wa magari utasaidia kufadhili bajeti

  • | K24 Video
    5 views

    Mwenyekiti wa kamati ya fedha Kuria Kimani amedokeza kuwa huenda ushuru wa magari wa asilimia mbili nukta tano unaopendekezwa katika mswada wa fedha wa 2024 utapitishwa ulivyo kwani bajeti ilioko kwa sasa haijapunguzwa. kulingana na kimani, ushuru huo utafadhili bajeti kwa shilingi bilioni hamsini na nane na ukiondolewa utaleta pengo sawia katika bajeti. Muungano wa wanaotoa bima umepinga ushuru huo ukionya huenda wamiliki wa magari wakakwepa kuchukua bima