9,992 views
Duration: 1:25
DJ Gloria, mwenye umri wa miaka 81 ambaye jina lake halisi ni Madelein Mansson, amekuwa akipiga muziki kwenye vilabu vya usiku maarufu nchini Sweden na kufanya matamasha maalum kwa makundi ya watu wenye umri wa zaidi ya miaka 50.
-
Mansson aliamua kuwa DJ baada ya mume wake kufariki dunia alipo kuwa na umri wa miaka 62 baada ya kupata mafunzo kutoka kwa mtoto wa rafiki yake, amekuwa akiandaa sherehe kwa zaidi ya miaka 16.
-
Tazama
-
-
-
#bbcswahili @sweden #DJGloria #muziki #burudani