Kutana na James Locheria, refa mchanga zaidi nchini

  • | Citizen TV
    4,277 views

    Mvulana Mmoja mwenye umri wa miaka kumi na tatu amevutia wakaazi wengi wa mji wa Lodwar kaunti ya Turkana kwa talanta yake ya kuwa refa mdogo zaidi. James Locheria kutoka shule ya msingi ya St Michael Kawalasee, amewashangaza walimu na wazazi baada ya kuonyesha umahiri wa talanta yake ya urefa. Cheboit Emmanuel alikutana naye na kutuandalia taarifa ifuatayo..