Kutana na ligi ya kipekee ya wabibi wanasoka barani Afrika
Huenda wasiwe na ujuzi kama Lionel Messi au Cristiano Ronaldo, lakini hilo halijawazuia Bibi hawa wa Kiafrika kujifunza kupiga penalti na mbinu za kukaba.
-
Hii imekuwa kazi ya Rebecca Ntsanwisi mwenye umri wa miaka 57 kutoka Afrika Kusini, aliyeanzisha timu za Bibi wazee wanasoka katika nchi mbalimbali barani Afrika kwa lengo la kuboresha afya ya akili na mwili kwa wanawake wenye umri mkubwa.
-
Timu tano kutoka Afrika zinashiriki kwenye mashindano ya Kombe la Dunia la Soka la wabibi huko Limpopo, ambapo mchezaji mkongwe zaidi ana zaidi ya miaka 80. Tazama video hii uone jinsi soka ilivyowapa maajuza hawa mwamko mpya wa maisha.
-
-
-
#bbcswahili #soka #wabibi #kandanda #ligi
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
7 Aug 2025
- The late MP was a trailblazer on many fronts.
7 Aug 2025
- The operation was a joint effort between police and KWS.
7 Aug 2025
- The arrests were made during an operation on Wednesday night.
7 Aug 2025
- Two families in Mlolongo, Machakos County, are in anguish months after their kin disappeared under mysterious circumstances.
7 Aug 2025
- Kericho Governor Erick Mutai once again faces an impeachment attempt, barely a year after surviving a similar bid in the Senate.
7 Aug 2025
- A man believed to be behind a string of brutal murders in Gem Yala sub-county in Siaya was apprehended and later lynched by members of the public.
7 Aug 2025
- The late MP was a trailblazer on many fronts.
7 Aug 2025
- The operation was a joint effort between police and KWS.
7 Aug 2025
- The arrests were made during an operation on Wednesday night.
7 Aug 2025
- CBK is expected to respond to the bankers' request next week on Tuesday.
7 Aug 2025
- They have been summoned over the irregular transfer of the government land.
7 Aug 2025
- The ministers of defence and environment died in a military helicopter on Wednesday.
7 Aug 2025
- By the end of 2025, 1,000 goats and sheep are expected to be distributed unger the Hope Project