Kuthibiti visa vya watoto njiti nchini

  • | TV 47
    15 views

    Visa vya watoto njiti milioni 5.2 wanaozaliwa vinaweza kudhibitiwa kila mwaka iwapo mataifa yaliyo na kipato cha wastani yatahifadhiwa na dola bilioni 1.1 ifikapo mwaka wa 2030.Baadhi ya wahudumu wa afya kutoka kitengo cha afya ya uzazi wamesema kuwa kupanga uzazi pia ni njia mwafaka ya kudhibiti visa vya watoto wanaozaliwa na changamoto mbalimbali za kiafya.__

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __