Kutuna na Thomas Wafula, kijana aliyekuwa mwizi sugu na sasa amegeukia kilimo

  • | Citizen TV
    3,699 views

    Alikua mwizi sugu na hata kuhukumiwa miaka mitano gerezani na sasa amegeukia kilimo na kuwa kielelezo kwa jamii kuwa uhalifu haulipi chochote. Mwanahabari wetu Collins shitiabayi amekutana naye Thomas Wafula katika kijiji cha misemwa kaunti ya Trans-Nzoia na hii hapa taarifa yake.