'Kuwasimamia watoto wa kike tu ni kitu kigumu, sio rahisi’ - Nandy

  • | BBC Swahili
    840 views
    Mwanamuziki Faustina Charles Mfinanga maarufu kama @officialnandy kutoka nchini Tanzania anatanabaisha kuwa safari ya kuwa mwanamuziki kwa mwanamke sio rahisi. Katika mahojiano na BBC, Nandy anaeleza kuwa hiki ndicho kilichomsukuma hivi karibuni kufungua label mpya ya wasanii wakike pekee nchini Tanzania ‘The African Princess’ 🎥: @frankmavura #nandyfestival #tanzanianmusician #bbcswahili