Skip to main content
Skip to main content

KVDA yawapunguzia wakazi mzigo wa kutafuta maji Baragoi

  • | Citizen TV
    406 views
    Duration: 3:08
    Ni afueni kwa wakazi wa Ntil Baragoi samburu kaskazini,kufuatia uzinduzi wa miradi ya maji eneo hilo,miradi iliyofadhiliwa na mamlaka ya maendeleo katika bonde la Kerio KVDA. Miradi hiyo inanuiwa kuwaondolea dhiki wafugaji ya kusafiri mwendo mrefu kukata kiu ya maji.