Kwa nini Israel imewaita wanajeshi wake wa akiba? Katika Dira ya Dunia TV Jumatano 20/08/2025

  • | BBC Swahili
    20,130 views
    Israel imewaita maelfu ya wanajeshi wake wa akiba kurejea katika wiki chache zijazo, kabla ya mpango wa mashambulizi ya ardhini ya kuuteka mji wote wa Gaza. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw