Skip to main content
Skip to main content

Kwa nini mahakama imetupilia mbali pingamizi za Tundu Lissu?

  • | BBC Swahili
    5,126 views
    Duration: 1:14
    Mahakama Kuu ya Dar es Salaam Tanzania imesoma shitaka linalomkabili mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Tanzania, CHADEMA, Tundu Lissu, katika kesi ya uhaini. Awali, mahakama ilikuwa imetupilia mbali hoja zote za pingamizi la Lissu kuhusiana na uhalali wa hati ya mashtaka.