Kwa nini mwafrika anayeishi ughaibuni anapendezwa na upigaji kura Marekani
Mmoja wa wanachama wa Waafrika wanaoishi ughaibuni alizungumza na Jeff Swicord wa VOA hivi karibuni na alikuwa na haya ya kusema kuhusu haki ya kupiga kura na pia kuwa salama hata baada ya kumkosoa Rais au kiongozi yoyote Marekani. Kabla ya Kamala Harris kuingia katika kinyang’anyiro cha urais ukusanyaji maoni umeonyesha kuwa karibunusu ya wapiga kura hawakuwa wanafurahishwa na wote Rais Biden na Rais wa zamani Trump. April tulizungumza na mmoja wa wanachama wa Waafrika wanaoishi ughaibuni ambaye pia anafikiria kutopiga kura. Jeff Swicord hivi karibu alimtembelea tena kuona kama ugombea wa Kamala Harris umemfanya afikirie tena uamuzi wake.
#uchaguzi #marekani #diaspora #voa #voaswahili #drc #republikan #demokratik #rais #gavana
4 Aug 2025
- The warning comes amid complaints from Kenyans.
4 Aug 2025
- Harambee Stars secured their first-ever victory at CHAN on Sunday.
4 Aug 2025
- The pair was charged a day after their arrest.
5 Aug 2025
- Enquiries revealed that two plots were used as collateral to acquire a loan on which the borrowers defaulted.
5 Aug 2025
- Education Cabinet Secretary Julius Ogamba finds himself increasingly sidelined by his own Principal Secretaries.
5 Aug 2025
- Why US ballooning public debt is a key concern for Kenya
5 Aug 2025
- Nairobi Expressway contractor to shoulder Sh6.9b tax bill
5 Aug 2025
- Court spells the end of Isiolo's 60-year-old bar, a relic of 'choma'
5 Aug 2025
- Kebs deal with Japanese firm for car inspections under scrutiny
5 Aug 2025
- Why civil society wants Hustler Fund scrapped
5 Aug 2025
- Will Kenya Kwanza's scorecard be enough to win Ruto a second term?
5 Aug 2025
- Kenyan athletes focused on Tokyo Worlds despite Chan fever
5 Aug 2025
- Varsities VCs protest course fee cuts as debts soar to Sh85 billion