Skip to main content
Skip to main content

Kwa nini wanaume wanaweka barafu kwenye korodani?

  • | BBC Swahili
    6,049 views
    Duration: 1:47
    Huku uwezo wa wanaume wa kupata watoto ukipungua, baadhi yao wamegeukia njia ambazo hazijathibitishwa ili kuongeza wingi wa mbegu zao. Licha ya baadhi ya njia hizi kuwa na madhara, watu wenye ushawishi katika mitandao ya kijamii wanafaidika kutokana na mtindo huo. @penda.agnes anaelezea kwa kina wataalam wanasema nini? #bbcswahili #korodani #uzazi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw