Unywaji damu ya mifugo hasa katika jamii za kuhamahama, si jambo geni, ila sasa ya kale tunayaona mageni. Katika jamii ya Borana, kwa wanawake wajawazito na waliojifungua kunywa damu ya mifugo ni jambo la kawaida. Naamini kwa sasa unajiuliza, damu tena! Naam!… Damu..Lakini kama Mwanahabari wetu Leyla Swadique anavyotusimulia katika makala haya, utamaduni huu unaendelea kuangamia kutokana na usasa tulionao.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive