- 8,213 viewsDuration: 8:18Baada ya zaidi ya miaka 50 tangu binadamu alipotua Mwezini, sasa mashindano mapya ya kurudi mwezini yanashika kasi. Marekani na China zote zinapanga misheni kuelekea mwezini na zote zinataka kujenga vituo vya kudumu. Kikubwa ni kupata rasilimali zilizopo katika mwezi. Je, kwanini sasa? Na kwanini imechukua muda mrefu hivyo? Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw