Skip to main content
Skip to main content

Kwanini haupaswi kujichubua ngozi yako?

  • | BBC Swahili
    7,529 views
    Duration: 1:50
    Je unajua ni kwanini haupaswi kuchubua au kubadili rangi ya ngozi yako? Kwa wengi wetu, kuchibua ni njia ya kutafuta ngozi nyororo na mng’ao na kuhisi kwamba kunafanya uonekane mrembo zaidi. Lakini ukweli ni kwamba ni hatari sana kwa afya ya ngozi yako na kuna madhara mengi yasiyojulikana - - #bbcswahili #urembo #kujichubua #wanawake Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw