Skip to main content
Skip to main content

Kwanini mbu anaweza kuchagua mtu wa kumng'ata?

  • | BBC Swahili
    39,883 views
    Duration: 2:00
    Wakati mwingine unaweza kuumwa mara kadhaa huku wale waliokaa karibu nawe wasiguswe hata mara moja. Wanasayansi wanasema sababu si kuwa una "damu tamu" kama wengi wanavyoamini. Badala yake, mbu huvutiwa na mambo kama gesi ya kaboni dayoksaidi unayotoa unapopumua, joto la mwili wako, pamoja na mchanganyiko wa harufu zinazotolewa na ngozi yako. Mwandishi wa BBC @sarafinarobi na taarifa zaidi: - - #bbcswahili #mbu #malaria Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw