Skip to main content
Skip to main content

Kwanini Ufaransa, India na kwingineko kuna maandamano ya Gen Z?

  • | BBC Swahili
    20,700 views
    Duration: 1:52
    Kuanzia Ufaransa hadi India, vijana wameendelea kuingia mitaani kushinikiza mabadiliko kuhusu masuala mbalimbali yanayogusa maisha yao ya kila siku. Ingawa sababu za maandamano hayo hutofautiana kutoka nchi moja hadi nyingine, mengi yamechochewa na malalamiko yanayofanana miongoni mwa kizazi cha Gen Z. Caro Robi anaelezea kwa kina nchi hizi zilizokumbwa na vuguvugu la Gen Z #bbcswahili #ufaransa #maandamanoGenZ Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw