Skip to main content
Skip to main content

Kwanini watu wanapata ugonjwa wa Parkinson?

  • | BBC Swahili
    758 views
    Duration: 7:34
    Baada ya kusikia simulizi ya Nduta Mbogori kuhusu jinsi anavyoishi na ugonjwa wa Parkinson, Dkt. Rahel Leonard Kilimba anaelezea kwa undani zaidi ugonjwa huo, ikiwemo chanzo chake, walio katika hatari kubwa ya kuupata, pamoja na matibabu yanayosaidia kudhibiti dalili zake, katika mahojiano na Elizabeth Kazibure. #bbcswahili #afya #parkinson Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw