KWS imewahamisha swara bongo 10 waliokomaa

  • | Citizen TV
    1,456 views

    Shirika la huduma za Wanyamapori limewaachilia swara bongo kumi waliokomaa na kuwahamishia katika hifadhi ya wanyamapori ya Mawingu ili kuwakinga dhidi ya uwindaji haramu.