Skip to main content
Skip to main content

KWS yaanza kufufua maeneo ya utalii yaliyosahaulika

  • | Citizen TV
    474 views
    Duration: 2:04
    Shirika la Huduma kwa Wanyamapori nchini (KWS), likishirikiana na serikali za kaunti na wadau mbalimbali, limeanzisha mchakato rasmi wa kuweka ramani na kufufua maeneo ya utalii yaliyosahaulika nchini.