- 1,368 viewsDuration: 3:05Jamii zinazoishi karibu na ardhi oevu zimehimizwa kulinda ardhi hiyo ambayo ni mazingira bora kwa ndege aian ya korongo. hayo yalisemwa kwenye hafla ya kuadhimisha miaka 10 tangu kuanzishwa kwa makundi ya kuhifadhi ndege hao katika uwanja wa Ol-Joro Orok kaunti ya Nyandarua.