Laura Seethal atoa kibao chake kipya Push 2 Start remix
Mwanamuziki maarufu Laura Seethal al maarufu Tyla ametoa wiki hii, video ya wimbo wake mpya Push 2 Start remix akimshirikisha msanii nguli wa dancehall wa Jamaica Sean Paul.
Wimbo huo mpya kutolewa unatokana na mfululizo wa albamu ndefu ya kwanza ya mwnamuziki huyu kinda mwenye umri wa miaka 23, iitwayi Tyla, ambayo ilitolewa Oktoba 2024.
Mwanamuziki huyo mzaliwa wa Afrika Kusini alipata mafanikio wakati wimbo wake single amapiano Water ulipotamba kwenye TikTok. Wimbo huo ulishika nafasi ya saba kwenye Billboard Hot 100 ya Marekani na kuingia katika nyombo za juu 5 nchini Uingereza, na kumfanya kuwa msanii wa kike aliyeshika chati nyingi zaidi katika historia ya Afrika.
Februari 19, ilitangazwa kuwa mwimbaji huyo wa Truth or Dare alikuwa msanii wa kwanza wa Kiafrika kupata kuangaliwa mara bilioni moja kwenye Spotify kwa wimbo wake uliotamba wa Water.
Pia alishinda tuzo ya uzinduzi ya uchezaji bora wa muziki wa Kiafrika katika Grammys kwa wimbo huo.
#mwanamuziki #lauraseethal #tyla #push2startremix #voa #voaswahili #burudani
4 Aug 2025
- The warning comes amid complaints from Kenyans.
4 Aug 2025
- Harambee Stars secured their first-ever victory at CHAN on Sunday.
4 Aug 2025
- The pair was charged a day after their arrest.
5 Aug 2025
- Enquiries revealed that two plots were used as collateral to acquire a loan on which the borrowers defaulted.
5 Aug 2025
- Education Cabinet Secretary Julius Ogamba finds himself increasingly sidelined by his own Principal Secretaries.
5 Aug 2025
- Why US ballooning public debt is a key concern for Kenya
5 Aug 2025
- Nairobi Expressway contractor to shoulder Sh6.9b tax bill
5 Aug 2025
- Court spells the end of Isiolo's 60-year-old bar, a relic of 'choma'
5 Aug 2025
- Kebs deal with Japanese firm for car inspections under scrutiny
5 Aug 2025
- Why civil society wants Hustler Fund scrapped
5 Aug 2025
- Will Kenya Kwanza's scorecard be enough to win Ruto a second term?
5 Aug 2025
- Kenyan athletes focused on Tokyo Worlds despite Chan fever
5 Aug 2025
- Varsities VCs protest course fee cuts as debts soar to Sh85 billion