Ligi ya Daraja la pili NSL

  • | Citizen TV
    230 views

    Mbio za kupanda daraja hadi ligi kuu ya fkf-pl zilichukua mkondo mapya zikiwa zimesalia raundi mbili pekee. Fortune sacco ilishuka kutoka nafasi ya tatu hadi ya tano baada ya kupoteza 2-1 nyumbani dhidi ya darajani gogo kutoka kibera ambao sasa wanashika nafasi ya tatu.