Skip to main content
Skip to main content

Likoni: Kundi moja la Warundi waripotiwa kutafuta hifadhi katika kanisa

  • | NTV Video
    3,358 views
    Duration: 3:02
    Kundi moja la Warundi limeripotiwa kutafuta hifadhi katika kanisa moja huko Likoni, Mombasa, baada ya wenyeji kudaiwa kuwatishia kuwafurusha kufuatia agizo la Rais William Ruto linalolenga kuwafurusha wachuuzi na wafanyabiashara wanaohudumu bila nyaraka. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya